Nitakupa ushauri kuhusu jinsi ya kuanzisha kampuni yako nchini Tanzania.
PR
Philemon Rwegasira Bagoka
(0 maoni)

Kuhusu Huduma Hii
Mimi ni mtaalamu wa usimamizi wa kampuni. Nitakushauri katika hatua zote za kuanzisha kampuni yako nchini Tanzania, kuanzia usajili hadi usimamizi wa kampuni na shughuli zake za kila siku.
company
corporate
Maoni (0)
Hakuna maoni bado.
Basic
TSh 50,000
Mimi ni mtaalamu wa usimamizi wa kampuni. Nitakupa ushauri katika hatua zote za kuanzisha kampuni nchini Tanzania, ikiwemo taratibu zote za kisheria na kiutawala, usajili wa kampuni, pamoja na usimamizi wa kampuni na shughuli zake za kila siku.
3 day delivery 0 revisions
- Nitakuongoza kwa siku 3 katika hatua zote za kuanzisha, kusimamia na kuendesha kampuni yako kwa weledi.
Service priceTSh 50,000
Service fee (5%)TSh 2,500
TotalTSh 52,500
PR
Philemon Rwegasira Bagoka
Dar es Salaam, Tanzania
—
Tathmini
0
Maagizo
0%
Ukamilifu
2026
Mwaka